Thursday, March 25, 2010

MJADALA:: SOMO NI NANI?!!!


SOMO NI NANI HEBU WADAU NIJUZENI....KAZI YA SOMO NA ILI MTU AFUZU KUWA SOMO ANATAKIWA AWE NA VIGEZO VIPI!!

NA SOMO NI MTU ANAYEKUJUA AU UNAMUOMBA AWE SOMO YAKO AU YEYE ANAKUOMBA WEWE AWE SOMO YAKO?

AU WAKUBWA NYUMBANI KWENU WANAMTEUA MTU WAKUWA SOMO YAKO,?!!

NA HUYO SOMO NI MAMBO YA WATU WAPWANI TU AU HATA MAKABILA MENGINE YANA SOMO?!!
NASIKIA KUNA SOMO HADI WA KUKODIWA AMBAO WANALIPWA KWA AJILI YA KUKUFUNDA, NA LABDA KWA LUGHA YA BILA KUCHAFUA HEWA , NAOMBA NIJUE MAMBO ANAYOFUNDISHWA BI HARUSI NA SOMOYE

NI HAYO TU!!!.....NAWASILISHAAA

HUYO ALIKUWA SOMO WA ZENATH

NYOTA WAZIRI YE ALIKUWA SOMO WA BI PILLY
.....nae alikuwa na Pambe shurti walishona sare

ZULEKHA LORD SOMO HUYU AMETANDA KWENYE SHUGHULI ZA HIVI KARIBUNINDIO PIA ALIKUWA SOMO WA MISH NI BOMBA