Sunday, July 10, 2011 8:36:00 PM
Delete
Anonymous Anonymous said...
Nikiwa kama mwanaume huwa natumia musa mwingi sana kuwa makini kuhakikisha muonekano wa mwili wangu upo kwenye position ya kupendeza.Wanawake wengi wamekuwa wakitamani wanaume wanao onekana vizuri na pia ndo wenye sifa kubwa haswa katika swala la Sex.Nadhanio mtusaidie nyie wadada kuhakikisha tunakuwa muonekano bora kwa kutushauri haswa kufanya mazoezi na kujaribu kuangalia ni aina gani ya chakula kinahitajika.pia Swala la usafi ni aibu pale unapo mkuta mume wa mtu ananuka jasho au mdomo nadhani umakini uwepo kwenu kuhakikisha tunakuwa na muonekano bora.
HII NI COMMENT KUTOKA KWA MKAKA KATIKA HIKI KIPENGELE KIPYA NILICHOANZISHAA AMBACHO NAKIITA INAKUWAAAA....AMBAPO HUWA NAANDIKA INAKUWA....MWARABU AKIENDA KWAO, KAENDA DUBAI, MZARAMO AKIENDA KWAO OOO KAENDA NGOMANIII....HUU NI MSEMO WA KITAA NA HASWA NILIUSIKIWA KATIKA WIMBO WA MSANII HIVI ANAIMBA MCHIRIKU JINA LIMENITOKA.....ME NILIWEKA KWA KUMAANISHA KUWA...WANAUME NAO WANATAKIWA WAJIPENDE NDO MAANA KAMA MMENOTICE HUWA NAWEKA WANAUME WALIO NADHIIFU NA WALIOPENDEZA.....NIKIONESHA KUWA JAMANI HATA WANAUME WANATAKIWA WAPENDEZE SIO KUPENDEZA WAPENDEZE WANAWAKE TU NA AKIPENDEZA MWANAUME ......OH BWABWA....OH SERENGETI....OH KING'ASTI NK

SASA BAADA YA JUZI KUWEKAIYO POST WATU KUCOMMENT NA MKAKA NAE AKACOMMENT NIKAONA LOH KUMBE WANAPENDA NAO KUSHARE NINI WANAFEEL UKIZINGATIA KUWA HUKU WANAKUJA WANAWAKE KWA WINGI SO NI SEHEMU NAO WANAWEZA ITUMIA KUJIFUNZA NASI TUWASIKIE MAONI YAO..... AU WADAU AKA MASHOST MNASEMAJEEE TUWAALIKEE?!!...MAANA MI NILITENGA KIJIWE HIKI KIWE CHETU TU LAKINI NDO WAKO HUMU KIBAOOOO MNABISHAAA?!! ...NA WENGINE WAKINIAMBIA TUNATEMBELEA 8020 FASHIONS NAWAULIZAGA MNAFUATA NINI JAMANI KULE NI KWA WANAWAKE....WANAJIKANYAGA ;) SASAA NAO TUWAPE SABABU YA KUWEPO NA HATA MKIWA NAO KWENYE GARI AU VIJIWENI KWAO WAPATE CHA KUDISCUSS....MAANA WENGINE WANASHINDWA JIACHIA WAKIJUA WATASHANGALIWA...japokuwa woote najua mnahudhuriaa humu juzi ,jana na leo
MASHOST NASIKILIZA RUKSA YENU TUWAALIKE NA MASHEMEJIIIII AKA WANAUMEEE HUMU KWA KUWATUPIA VITU VIWAHUSUVYO?!!!!
MAMA IQ
MAMA IQ