OOOOH!! KUTOKANA NA MAOMBI YENU WADAU NIMEREJEA TENA KUWAPA KHABAR ZA FUN CITY, MWENYEWE NILIONA TANGAZO LA FUN CITY KWENYE TV ILIYOPO HAPA JENGO LA MILLENIUM TOWER KWENYE ATM MACHINE NDO NIKAULIZIA NIKAAMBIWA IKO KIGAMBONI....NDO SIKU YA SABASABA NIKAWAAMBIA MASHOST, TUKAENDA....FUN CITY IKO KIGAMBONI MAENEO YA KIBADA KAMA SIKOSEI.....NI SEHEMU KUBWA YENYE MICHEZO YA KILA AINA YA WAKUBWA NA WATOTO HADI KUNA SWIMMING POOL KUUBWA NA MICHEZO MINGI YAKUFANANA NA ZAIDI YA YALE YA WET N WILD KUNDUCHI.....KIINGILIO NI 11,OOO KWA KICHWA NA 16,000 PAMOJA NA SWIMMING POOL WATOTO WADOGO CHINI YA MIAKA MI5 ITS FREE,MSOSI WAWEZA BEBA ILA PIA KUNA VYAKULA VYETU KM CHIPS KUKU YAANZIA 7000 NA SODA BUKU. BILA SHAKA NIMEWAPA MCHANGANUO MZURI KILA LA KHERI MKIENDA MNIRUSHIE PICHA EEE
NILIGUSWA NA HII BEMBEA sijui niite MAANA IMEKAA MFANO WA JIUGONJWA ingia ubembee ndo utajijua
woote tukagoma kupanda hii Hawa akajidai ulaya hii iko akapanda.......mwanzo mwisho kafumba macho ;)
hapa niligoma mie woote wakapata nikaishia nishushie icho chekundu nimshushe mwanangu maana makelele kama kilioni aka
michezo miiingiii mnoooooo watoto wanaenjoy saana mpatapo nafasi muwapeleke jamani
mi nilipanda kwenye hiki kikombe cha babu tu sikupanda nyengine tena..... siwezi mambo ya kujirusha roho mie
thanks dolls.......xoxo
FUN CITY IS FUN!!!!!