Thursday, September 1, 2011

MSAIDIENI TAFADHALI!!

Hongera kwa kazi kubwa unayoifanya, Tafadhali naomba tuzungumzie nyama za kwapa ambazo zimevimba/kutuna kwenye kiungo kati ya mkono na titi.tafadhali naomba tuzungumzie maana zinznikera na siwezi kabisa kuvaa nguo ya kata mikono.inakera afu mimi ni mwembamba hizo nyama zinaniboa sana.tafadhali naombeni ushauri nifanyaje mwenzenu