VENUE::WATER FRONT
COLOR::GREEN APPLE & GOLD
MC::CHICHI
SOMO::ZULEKHA LODI





Huu mguu ni mmoja wa mamaid...hakikaaa umeumbikaaa mwenye sifa apewe, kaukatie insurance shost....wink
hahahaha SWAGGA za MISH BOMBA mmmeziona yeye hakuwa na Matron bali alikuwa na maMAIDS...NI UBUNIFU TU 





MBELE ALIANZA PITA BINTI NA KITEZO KINAFUKAAA MOSHI WA UDI...MC CHICHI ETI ALISEMA UKIPITIWA NA MOSHI HUU HUACHIKIIIIII
HAHAHAHAHAH SOMO ASINIPE SOMOOO.......SIKU ILEE SI NILIHOJI HICHI NINI??? SOMO AKAAMUA KUNIPA SOMO LA JINSI YA KUKITUMIA, WENZANGU NA MIE KIKE KIDUDE KINATUMIA HIVI......chezeya somo 


SOMO ZAWADI ALIZINGIZA NA MATARUMBETA UPOO?!!
HII ZAWADI ALIFUNGIWA BWANA HARUSI MASHOSTI SOMO ALISEMA KUJIPENDEKEZA MUHIMU, HIVYO HUMO NDANI NILICHUNGULIA NIKAKUTANA NA MIPERFUM YA UKWELIIIII

SOMO UNGEMUUA MWALI WAKO KWA MSHTUKO SUPRIZE GANI HIZO...maskini Mish alikuwa analia tu.... MACHOZI YA FURAHAAA....kupendwa ndio Huku 


ZAWADI ZA WANAKAMATI KWA UJUMLA ZILIANDALIWA NA ZIKAPANGWA VIZURIIIII kama kuleee(Too bad Amefuta post, msikonde lakini ntazirudisha) HII STYLE NIMEIPENDA MAANA KILA KITU KIMEKAMILIKA HAPA MISH B NI WEWE NA NGUO ZAKO TU 


HIZI NDO KASHDA na TASHTITI ZILIZOKUWEPOOOOO






KHADIJA ALIIMBA WIMBO WATU TUKABAKI TUNASHANGILIWA UTASEMA TAIFA STARS IMEISHINDA MANCHESTER.....sijui sijaoshwa na mkaratusi nikipitwa nitusiwe...nimeoshwa naa.......napewa mahelaa sijui nini na nini...lol, yaani ilenyimbo.....mishi Tafadhali kwenye Mirindimo ya pwani Baada ya Honey Moon Uanze nayo.....na mnaoujua mtupe jina ni balaaaaa..tupeni mashairi!!
Raha taarabu kutunzaa bibi ...kidude kilijaa
Raha taarabu kutunzaa bibi ...kidude kilijaa
KHADIJA YUSUPH AKITUIMBIA RIZIKI MWANZO WA CHUKI.....nimejionea live mtu uje unifutie post zangu ndani ya blog inahusuuuuuu


























MMOJA KATI YA HAWA NI BIHARUSI PICHA ZAKE ZAJAA....NI FUNGA MWAKAA, BALAA, USIPIMEEEE....usiguse kipanya endelea kuzuru 8020 fashions









































