VENUE::KURHAUS ,WIESBADEN
DRESS CODE::FULL NGWAMBA
Bw. Edwin Gafa, kiongozi wa msafara wa Nile Breweries ya Ugandakushoto ambao wamepata tuzo ya kushiriki mara nyingi kwenye Monde Selection.....YETU YAJA...ENDELEA KUZUNGUKA HUMU HUMU UTAIONA SI UNAJUA TUNA GRANDE GOLD
HIZI NDO BAADHI YA BIA ZILIZOSHINDANISHWA NA NDOVU SPECIAL MALT.....Ukipepeza macho kwa makini mnaweza ona hapo na za nyumbani zilizosindikizaa