Monday, May 17, 2010

HAPPY BIRTHDAY........

KIUNGO MAHSUSI SEHEMU YA JICHO!!!
MICHUMAA IKAWASHWAA


BIRTHDAY GIRL MBONNIE ukipenda KIM K ...AKAMAKE A WISHHHH!!!NA KISHA CAKE IKAKATWAA

JAMANI CAKE ILIKUWA TAAMU KAMA KAWA FRUITS CAKE TOKA KWA MONICA.....ZIMEMWAGA NAZI JUU YAKE wali naziiiiii!!,
NA KUCHORWA NA CHOCLATE....
TULIANZA KWA SUPU AS STARTER.....kim K anambwembwe!! wink!!

MISOSI.....ulikuwa mwendo ya BARBEQUE.....SIMPLE FULANI HV
GAMEZ ZIKACHEZESHWA UFANYE KITU UKISHINDWA BUKU 5
The williamz.....Lol akisomewa kikaratasi chake kilichomtaka acheze sebene

ulikuwa ni mwendo wa alhajii..alhajii .ndi ndindiiii...midundo hadi chini
Ikafika zamu ya Bilaylaa Mashauuuziiii
Ah Genevieve nae hakuwa nyuma katika kulisongeshaaa
RED CARPET
lol!! halikuwatandikwa ila kokote uliko ndiko liliko red carpet
NIMEVAA SHATI LA DESIGNER KHADIJA MWANAMBOKA TOKA TMH....CHINI NINA GLADIATOR TOKA VIATUZIIII KWA OLIVIA NILOPEWA KAMA MMOJA WA FRIENDZ OF VIATUZI.









Hilda hapa kama JLO.....The Back Up plan cover...Ichunguliie.......UNABISHAAA??!! wink








NILIKOGUSWAAAAA!!

ni hili jina kuwekwa kwa style ya Mchorooooo






WALIKOGUSWAAA WAO....HAPA WATU KADHAA WALIKUWA WANANIONESHAA NA KUJUA KAMA NIMEPIGA PICHA...NAONA WALIGUSWAAAA ZAIDI YANGU....wink!!

ALIYEGUSWAAAA?!!!!