Friday, May 21, 2010

KIBE KITCHEN PARTY!!

BRIDE::KIBE
VENUE::STEREO
COLOR::GREEN & BLUE
DECOR:: GLORIA DECORATION


KIBE NI MAKE UP ARTIST by pro kawado masuper staa wengi wa kibongo akiwemo Mish B na Salma Msangi (Kimora Lee)

JIUGONJWAAA LILIKUWA LA UKWELI...nilitamani saana hizo za juuu...ila basi tu!!

MRS MWAKI.....nini tenaaa??? akitoa maelezooo jinsi ya kufuata protoko



MC ALIKUWA NI MWANAHAMISI BASHIRI MWENDA MWAKI.......nikumbushe plz!!
CHAMPEN NILIANZA FUNGULIWA KATIKA MSAFARA WAKUMUINGIZA BI KIBE HOLINI KAMATI INA TASHITITI BALAAA

KACHIRIIII KACHIRIIII SAGAAA.......
WATU WALIDUARIKA SAAANA TU
MWENYEKITI AKIONGOZA ....KALE KAMCHEZA KA CHEZA KWA STEP
ZAWADI ZILIKUWA UNIDUE NA ZA UKWELIII


WALIKUWA NA BEJI STYLE HIII....ni ubunifu tu



RED CARPET

























NILIGUSWA HAPA....BINTI AFRIKA UPO?!!