Tuesday, May 18, 2010

LAZIMA TUPIGE SWAGGA ZA KWAOOO...HINNA PARTY HIYO

WERA WERAAAA......NA HIZI NDO SWAGGA ZENYEWE ZA KIHINDIIIII AMBAZO UNATAKIWA UPIGE KWENYE HINNA PARTY YA SHOST WETU........TAR 29 MAY, THEME KIHINDI,BURUDANI KIBAO KATA & RUSHA ROHO....WENYE KADI MUDA WA KUWASILISHA NDO HUU