Monday, May 31, 2010

Shear Hair & Beauty Magazine

Gazeti mahiri la mambo ya Nywele, Urembo na Afya la Shear Hair & Beauty Magazine toleo la Tano lipo mtaani Sasa. Pia unaweza chungulia gazeti hili kupitia Shear Hair and Beauty Magazine na kuona yaliyomo ndani.