Monday, May 24, 2010

'ARE YOU LATE ?

Huduma ya UTOAJI MIMBA luningani Liveeee!
LONDON, Uingereza

'ARE YOU LATE ?' ndivyo linavyouliza tangazo la kampuni ya Marie Stopes..ambalo tayari limeanza kuleta maswali chungu nzima duniani.

Kampuni ya Afya ya Uzazi nchini Uingereza imesema kituo cha luninga cha Channel 4 kilichopo nchini humo kuanzia wiki ijayo kinatarajia kurusha hadharani matangazo ambayo yanaonesha huduma za utoaji wa mimba.

KWA HABARI ZAIDI KONG'OLI
DAHOTWIRE.COM