Wednesday, June 16, 2010

JIDE'S SUPRISE BIRTHDAY PARTY

EVENT::BIRTHDAY PARTY
VENUE::ABLA'S APARTMENT


JIUGONJWA LIKAKATWA KAMA SANDAKALAWE ALOPATA AKAPATAA ALOKOSA AKAKOSAA kama kawaida watu tulisepa na take away.....wink

baada ya salam akakabidhiwa mzigooo

SHAAA!! ndo alikuwa anaungurumisha jiwimbo la Happy birthdayIkabidi tu aingie...no way....kwani alipokelewa na nderemo na vifijo vya happy birthday

hahahhaha kufika kuona umati miguu ikaanza kugoma kwendaa....wink
hapa shemejiiiiii akimtresss na kumuweka sawaaa
Champen nayo ilifunguliwa na kijana wa MVUTO KWANZA


RED CARPET















TULIKOGUSWAAA
lol maana siku hz siguswi peke yangu nafanywa oneshwa zeze hujaguswa hapo?!!nakuwa najua tu wameguswaaa na wao




picha zaidi mtembelee LADY JAY DEE
ALIYEGUSWAAAA?!!!!