VENUE::ANCLE's PLACE
THEME::INDIAN
MC::MISH BOMBA
ORGANIZER::khadija, Jay Dee, Zainab &Masha
Maso masooo mwali wetu usimuoneee kwa jicho la hasidi mwali wetu usimuone masooooo.......sio mie ivyoooooo ni kibao kata ndo walikuwa wanaimbaaa
HENNA YENYEWE NDO HII SHURTI tashtiti za roses na mishumaa ya kuingaziaaIKAANZA FANYWA KAZI ILOTUPELEKA PALEEE....Henna ilipakaliwa na mawifi Bibi Upooo?!!
RAHAAAA JIPE MWENYEWEEEEE
hahahahh sio kwanza wanaokota vitu bali ndo kibao kata hicho...nilichoka wasimamisha mnazi mie nikawalaza chiniiiii....wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaa
panch ilipikwa na mwenyewe Mama Some Food....Brew Master...wink
VINYWAJI TULIKUWA NA UJI WA KUNGU......PANCH BILA KUSAHAU KINYWAJI CHA SPONSOR WETU REDDS.......KINYWAJI CHA MASHOST...FULL KUJIAMINI
UGONJWAAA.... hii yaitwa Cake ya dandiii(the most expensive cake)...ni kutokana na hizo tashtiti zinazowekwa bibi ni kwa mujibu wa cataraa wetu......chezeeeee
NAMASTEE....wink
SHUKRAN kwaaa wooote WADAU WANGU MLONICHANGIA NA MKAFANIKIWA KUKAMILISHA SHUGHULI HII especilly nyie kutoka 8020 fashions nimefurahi saana kwa ushirikiano wenu.......XOXO
ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru mustafa Hassanali GURU Designer kwa kunitengenezea sarii vyema ambayo iliweza dumu mwanzo hadi mwisho ya shughuli.....im sorry kama nilikosea vaa kama ulivyonifunga kwenye fitting....lol

SWAGGGGAAAAA!!!!!!
hahahah naona kila mtu alijitahidi kutia swaga za kihindiii hakika mliTISHHAAAA...lazima tupige swaga za kwaoooooooooo...wink
hahahah naona kila mtu alijitahidi kutia swaga za kihindiii hakika mliTISHHAAAA...lazima tupige swaga za kwaoooooooooo...wink
ona pua ile ya khadijaaa anashiba harufu tuuuu...maashaallllawww.....Any one from zanzibar nifanye special deliver....lol tu Disminder kama nakuona ulivyostukaKuna watu tu wamejaaliwa rangi zao jamani ...hapa hata mwanga sijaiongezea...so hata wale wanigeria wengine ni waukweli na wala si photoshop kama tunavyojipaga moyoo