Monday, June 14, 2010

TMH FUN CENTER!!

TUKO PAMOJAH NA SWAGGA LA SKAFU LA MADAM RAHMA?!!
DA KHADIJA AKIDADAVUA JAMBO JUU YA SEHEMU HIYO YA KUCHEZEA WATOTO FUN CENTER KIGAMBONI...HAYA JAMANI KINA MAMA HATA BIRTHDAY ZINARUHUSIWA FANYIKIA HUKO, KWANI KUNA MICHEZO TOFAUTI YA WATOTO NK