Sunday, June 13, 2010

VICKY SABRINA KITCHEN PARTY!!

BRIDE::VICKY SABRINA
EVENT:: KITCHEN PARTY

VENUE::DELUXE HALL
COLOR::ORANGE&BROWN


Hair do!!!



ugonjwaaaa ulikuwa miwiliiiiii
kwanza apike chaiiiii na jiko
Na kisha amtengee chai Shemejiii


VICKY SABRINA NAE ALIMTUNZA MAMAE......

USHOGA KAZI MBONIE ALIMTUNZA SHOGAE

na hizi ni zawadi zako kutoka kwa kamati..............
RAHAAAAA


HAHAHAHHA kiti kilipandisha mashetani kama kawa....ukitaja kujua uhondo wa ngoma uingie uchezeeee, ukitaka ujua ugomvi wa shetani , umguse kiti wake...kwani hapa nilipo mashetani mamama...kuna mashetani weee
MAVIP IN TOWN WENYEWE NDO HAWA HAPAAA.....mama Flora...Amina....cute munira wink!!

JOKHA KASSIM NAE ALIKUWEPO ...ndo alimuingiza bi harusi

KIDUKU KILIKUWEPO LIVEEEE


RED CARPET!!

































NILIKOGUSWAAAAAAAAAKAMA UMEPENDA HIYO LACE WIG NIBEEP.....nikuelekeze
Head band unaipata 8020 fashions

ALIYEGUSWAAAA??!!