Haya katika maonesho ya mavazi yanayoendelea huko Afrika ya kusini yakijulikana kama Africa Fashion Week kuna mbunifu
Gloria Wavammunno kashuka na collection akiwa ametumia material ya kiafrika vikiwemo vitenge... nimekunwa na hii
BLAZER YA KITENGE KAMA SI KANGA.......NIMEGUSWA ZAIDI NA KUKUTA WADADA WA TZ WAKIWAKILISHAA...
heko zenu Millen na Flavian cheki Blazer iyooo
Millen
Flavvy
Picha::thanks to bella Naija