HII NI KWA MDAU ULIYETAKA JUA VITAMBAA WALIVYOKUWA WAMETINGA SARE 'ESOEBI' WAPOPO VINAITWAJE NA MUONEKANO WAKE UKOJE...UKIENDA DUKANI ULIZIA 'BROCADE FABRIC'
KISHA CHAGUA RANGI WAWEZA MIX NA SATIN NK INATEGEMEA NINI UNAPENDA KILA LA KHERI NASUBIRI PICHA MIE
HIVI NDIVYO WANIGERIA WALIVYOLIPUKA NA BROCADE FABRIC
HICHI KITAMBAA NDO HASWA KINACHOTUMIKA KUSHONEA HIZI NGUO ZA KICHINA...JAPO WANATUMIA VYENYE SILK ZAIDI