COLOR::BROWN& GOLD
VENUE::MAKUMBUSHO
DESIGNER :: MANJU MSITTA
MC::ADELLA
NILIPENDA ALIVYOVAA....HICHI SIJUI NI AINA YA KITAMBAA AU GUNIA...INAWAKILISHA UTAMADUNI ZAIDI......
NA BI HARUSI MWENZIE MKIA NA MKIA ULIKUWA WAKUTOSHAA |
ZAIDI YA MTANDIO KAMA SARE..PIA WAALIKWA WALIONDOKA HII...ni ubunifu tu |
hii Cake ya Orxy imekuwa maarufu siku mbili hizi...nimependa hii ilivyoambatanishwa na hivi vikapu vya matunda |
Bi harusi si mkaazi wa hapa...hivyo zawadi zake zilikuwa za design hii...umeonaje hii mdau |
Da Ted.....watoto wa Moro Seko Hostel mpo!! wapi Haica Kimambo...lol
nilikunwa na hichi kitenge....na kimekaa mahala pake
MC Adella ana mbwembwe nae alikuwa anachezaaaa makiri kiri
HB Entertainment walikamua...vijana hawa wanacheza nyimbo za makabila yote ila ndo wametia ubunifu wao wanaimodenize......hapa ilikuwa ni wahaya wakaunguruma kihaya na kutupia na ile makiri kiri kidoogo kiduku,wacko jacko style ndani....ushaona chenkura inachezwa na suti weye..mie walinibamba kwa kweli......na tayari wametoa dvd yao ukiwahitaji wacheki kwenye namba hii 255 713 928171
Kiduku nacho kilikuwepo siku hiyooo
NILIKOGUSWAA
HAIR DO'S
Da Ted ye huwa ana dread lock ndefu....amezitengeneza vizuri kistyle