MTARAJIWA ANA SWALI
MIMI NI BI HARUSI MTARAJIWA NA HIVI KARIBUNI NATARAJIWA KUOLEWA NA NIKO KWENYE MAANDALIZI , SASA MCHUMBA WANGU AMENIKODISHIA NGUO YA HARUSI TU NA KUNIAMBIA KWAMBA VITU VYENGINE KAMA VIATU,UA LA KUSHIKA, NA MAPAMBO KWA UJUMLA NITAFUTE MIMI MWENYEWE
SASA NACHOTAKA KUJUA JE NI SAHIHI KWA MCHUMBA ANAVYOFANYA, JE KUNILETEA HII NGUO KANIPENDELEA TU KUWA NILITAKIWA NIANDAE MIE KILA KITU AU AU ALISTAHILI KUNINUNULIA KILA KITU??!!