KWA MUJIBU WA WATENGENEZAJI WANADAI UKIVAA HIZI RABA HATA GYM UTAAGA ....na kina sie tulivo wavivu tumepata mteremko ;) HAYA WATCH;) ME NTAKAPOANZA PATA KIJISHAPE CHA KIM K ;)....hichi kitambi sijui kitapotelea wapi!!! zaidi ya shape inanyoosha mgongo,kutengeneza hips na matako(sipati picha)...unaweza vaa siku nzima si kwa mazoezi tu....nadhan zafaa hata kwa wale ambao kazi zao ni zamisele....MAELEZO MATAMUU HOPE ZITALETA MAFANIKIO AU NDO MAMBO YA BIASHARA MATANGAZO?!!
MIE MAZOEZI YANGU NI KUKIMBIA NA KUTEMBEA...maana nikissema nitazishindia nitajidanganya
NITAKUWA MCHOYO WA FADHILA NISIPOMSHUKURU MY HAWA.....HAWA ABDULKADIR ambaye aliona nimezitundika kwenye BBM Profile akanipromise kuniagizia...all the way from South Afrika ...UBARIKIWE SAANA
xoxo

kwa maelezo ya kina we 'google' shape up skechers.....utapata maelezo yoote na jinsi ya kuzinunua