vivazi vyote alivyotinga pichani...ni vya mbunifu wa kinigeria mwenye makazi yake majuu Doru Oluga...WIFIIIII Mzalendo eeee ;)
yaani kwa huyu mama nashindwa jificha ananisuuzaa saana roho yangu....kila nikimuona napiga saluuute (sauti ya khadija Kopa)