Saturday, June 25, 2011

NI MAMA OBAMA TENA

                                               NI KITU CHA KT NA PUNDAMILIA STYLE
.....niwape angalizo jamani wanasema mtu mnene huruhusiwi vaa pundamilia za kulala unazidi kuwa kidungulushi kama simtank...wewe mnene vaa pundamilia yakushuka chini ikurefushe.
...ni hayo tu