unambiwa jisutishe shost suti si lazima iwe dark color kama nyeusi au grey inaweza kuwa rangi yoyote mradi tu iendane na rangi yako...na usikrem suti si vazi la ofisini au kwenye interview na mikutano suti unaweza toka nayo usiku na ukatoka kisexy na classy.......
.JISUTISHEEE SHOST!!!!