NI MMOJA KATI YA MABALOZI WA OXFAM DUNIANI KRISTIN DAVIS AK.A CHARLOTTE YORK |
haswaaaa imechongwa na big mama...mchongaji vinyago wa kike anayenikosha na swagga zake za kiafrika |
DUH STEVE WE UNATAKA UHUSIKA NINI KATIKA SEX AND THE 3 ;)
STEVE KANUMBA YEYE NI BALOZI WA OXFAM HAPA NCHINI ALIUNGANA NA KRISTIN A.K.A CHARLOTTE YORK KUZINDUA ILO SHINDANO AMBALO LITAHUSIKA KINA MAMA WA TANZANIA NZIMA HUSUSAN KULE VIJIJINI AMBAKO WANALIMA NA KUFUGA KWA WINGI AMBAO WANACHOZALISHA KINASAIDIA KUPUNGUZA NJAA NCHINI KWA KIASI FULANI
.........wakati kina sie tunapiga picha kuna wengine walitaka sahihi ......da khadija nae alikuwepo sambamba na atahusika kwa namna moja au nyengine |
Nani asiyetamani piga na muigizaji wa Sexy In The City weweee.....jino la mwishoooo
offcourse.....nilipata wasaa waongea nae
Ukipita makumbusho kuna hizi nyumba za kwetu.......tulikotokaaa.....daslam tumehamia tu
kulikuwa na burudani ndiooooo.......KIUTAMADUNI ZAIDIIIII
DA MWANAHAMISI NDO ALIYEKUWA MWENYEJI WETU TOKA OXFAM TANZANIA AMBAYO NDO HASWAA INAANDAA HII TUZO ILI KUWAHAMASISHA KINA MAMA WAWEZE KULIMA NA KUFUGA ILI KUPUNGUZA NJAA INAYOTUANDAMA
NA KWA VILE TUNAMSAKA MAMA SHUJAA WA CHAKULA TULIMALIZAAA NA MSOSI WA KITANZANIA
WEWE MAMA AU WEYE MDAU AMBAYE UNAMJUA MAMA MKULIMA AU MFUGAJI AMBAYE UNAONA ANASTAHILIII HII TUZO TAFADHALI MCHUKULIE FOMU UMJAZIE AU CHUKUA FOMU UJAZEEE KWA HABARI ZAIDI INGIA
http://www.oxfam.org.uk/grow