HASWAAAAAA...TUANZE NA HIII KWANZA KWANI ULINZI NDO MAMBO YOOOTEEE...DUNIA YETU YA LEO...SECURITY GROUP INAHUSIKA KWA SAANA TU....MBALI NA ULINZI WA AFANDE GETINI PIA KUNA CAMERA NA MENGIE MENGINEYOOOOOO....MIE NIMEPITA NA NIMEGUSWAAAA....NAKUSHAURI NAWEWE UPITE SECURITY GROUP KWA INAKUHUSU...WAKO KATIKA HALL/BANDA LA SABA SABA BANDA LINAANGALIANA NA AIRTEL......MLANGO WA MWISHO CHUMBA NAMBA 8
hahahhahah nilijikuta tu KT zangu zimerandana na rangi za SECURITY GROUP
SHEAR ILLUSION NAO WAKOOOO....PITA HAPO UKAJIPATIE BIDHAA ZOOTE ZIHUSUZO UREMBOOOO KUANZIA NYWELE , USO HADI UKUCHAAAAA, NA BILA KUSAHAU UNAPAKWA MAKE UP BUREEE ILI UPATE JUA IPI NI PODA YAKO NA UKISHATOKA NG'AREEE NG'AREEEEE NDO UNANUNUAAA
NDIO KIKI FASHIONS WAPO NA KUNA PUNGUZO LA BEI.....KUANZIA VIATU HADI VIVAZI WAKO NDANI YA BANDA LA ALI HASSAN MWINYI....UKATIZE UKAJISOMBEEE
NIKAKARIBISHWA KATIKA BANDA LA VIWANDA NA BIASHARA......AMBALO LINAHUSIKA NA TANZANIA LEATHER SECTOR....HUMU NI VITU VYA NGOZI KWENDA MBELEEE....MKIENDA MPIETE JAMANI BANDA LIKO JAKAYA MRISHO KIKWENTE...KUNA POCHI, VIATU, MIKANDAA BILA KUSAHAU MAKOTI YA KISHAROBAROOO......YALE WASANII WANAYOTOKEA NAYO KWA RED CARPET NA KUPANDA NAYO JUKWAANI...WE UNAWEZA LITINDA WAKATI HUU WA KIPUPWE usiogopeee ;)
zile araiyooo zetu aka cultureeepochi za ngozi asiliii.......JAMANI TUTUMIE VYETU
MAJACKET NILOKUWA NAWAJUZA HAYO HAPO....hebu lipuka ka kanye ;)
SERIKALI NAYO INAWAKILISHWA NA MABANDA KADHAA...YAKIWEMO YAKUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURUUU
NIKAKUTANA NA MAMA MKAPA NA WADAU WA BANDA LAKE.....NILIVUTWA NA BACK TO AFRIKA HAPO KATIIIIII
YESSS!!! MSIWAACHE WATOTO TAFADHALI KWANI KUNA SEHEMU YAO MAALUM YA KUCHEZAAA NA KIKUBWAAA HAKUNA TENA KILE KIVULA VUMBI CHA NAITIN KWEUSIIII
NILIKUTANA NA HAWA WANAFUNZI WA CHEKECHEA WENYEWE WAKO NA WAALIMU WAO WAMEKUJA KUTEMBEA INANOGAAAJEEE
NIKAPISHANA NA MAADHI YA MAFASHIONISTA.....NIKAGUNDUA HUKU JEANS NA TOP NDO MBAPO MZIMAAAAAAAAA
OYAAAA SIJAENDA SABASABA KWA MIAKA KAMA MITATU HIVI....NIMEENDA NIMEFURAISHWA NA HIIIIIII......KUMEJENGEWA BARABARA PAMOJA NA KUWEKWA HII SAKAFU AMBAYO IMEFICHA LILE VUMBI.......HAKIKA MIAKA 50 YA UHURU "tumethubutu na tumeweza natunazidi kusonga mbelee"
NAWE UKITAKA NIJE KUTEMBELEA BANDA LAKO NIPIGIE 0784 418941
NAWE UKITAKA NIJE KUTEMBELEA BANDA LAKO NIPIGIE 0784 418941