Monday, July 25, 2011

SOPHIA PRE WEDDING PARTY

BRIDE::SOPHIA
VENUE::SARENDER NADDS HALL
COLOR::BROWN & GOLD
MC::ADELLA

ESOEBI::WADADA KITENGE WAMAMA BAZEE








                                hapa ndo ile namsaka mume wangu namsaka mume waanguuuu......


                                     sophia alisindikizwa na wadogo zake  bibi eee



hahahhahaha nilifurahi na ahsanteni waandaaji...favors ilikuwa NI TAA...nimeipenda hii kwani inaendana na hali halisi....umeme tatizo tunapeana taa...tumechoka leso bibi we kwanza miezi hii baridi jasho hakuna ;)


haswaaaaa jikadi lilikuwa la haja hebu cheki kupata kadi yako kwa ajili ya sherehe za kitchen party, sendoff , harusi na hata kadi za michango WAONE 
              BURUDANI ILIKUTOKA KWA WANAZUMBE.....ilinogaa mbayaaaa




















                                         WAMAMA WALIVAA BAZEEEE......PAMBEEE



                                     KIVAZI NILIPIKIWA NA EVE COLLECTIONS








GRM walikuwepo kusababisha

 nikaguswaaaaa