Monday, August 22, 2011

Eid Special- mkamatie mwanao!.....@TINY COLLECTIONS

Eid- mkamatie mwanao!

Karibu Tiny Collection this Eid season ukamate viwalo vya watoto vya sikukuu vya ukwe ee. Wakati unakarangiza biryani, usisahau na maziwa quality ya mtoto (SMA, Aptamil, Hipp Organic, Cow gate. weka order yako tutakuletea from U.K.). Kwa maziwa ya SMA karibu dukani bei chee!!

Tunapatikana Talk of the town building, along Garden road, Mikocheni!
Watot viwalo-watoto wakuche!!

Orders

www.tcollections.com

+255 654 550 675