MIE NILOCHAGUA....NILIPENDELEA FUPI YA KUVAA NA SURUALI...WENYEWE WANAIVAA NA SKET AU MAX DRESS/////MATERAIL ZAO SIO NZTTO ZA JOTO NI NYEPESI MNOO KUHIMILIANA NA HALI YA HEWA YETU.....IKO YA KILA RANGI
VILEMBA VYAO
|
NILIWADOKEZA EE 'HAPA' KUWA WENYEWE HAWAVAI ZIKE SKAFU KUUBWA WANAVAA NDOGO SABABU HIZI ABAYA ZAO NYINGI ZINAKUWA NA SWAGGA ZA SHINGO |
|
HIZI NDO ZILE ZA KOTI AMBAZO ZIMEKAA KIOFISI ZAIDI WENYEWE WANAZIWEKA KAMA ZA KISCHANA ZAIDI...ME NINAYO HII |
|
HIZI NDO ZILE FULL KAMA BAIBUI ZINAPENDEZA SAANA KWA KWELI...FOR CHANGING INABIDI UWE NAYO HII WALAU MOJA |
|
KUJINUNULIA HIZI ZA KITURUKI ONLINE INGIA HUMU K.K.W mkipendeza mirushie picha |