habarini kina dada na mama pamoja na mashosti wa da zeze. mie ni mkaka ambaye nimekuwa nikikatika zahuku kwa kuibia ibia hadi da zeze alipotupa fursa ya kutuingiza huku kwenye INAKUWAAA.... sasa mie nina ka swali eti ni kabila gani ambalo kina kaka wanajua mapenzi, naomba mnisaidie sababu nina reserch nafanya ya kimasomo, mtaani hudai wanaume wa kichaga mapenzi hawayawezi, tanga huwema mapenzi ndioko yalikozaliwa hivyo wanaume wa tanga ni mafundi saana?? je na kule kwetu bara ni vipi na kule kwa wenzetu wazee wa katerero? TAFADHALINI KUWENI SERIAZ KUNIJIBU HILI SWALI NI LA SHULE,nikushukuru dada zeze kwa nafasi natamani ningetuma picha yangu kwenye INAKUWAA lakiniiii sijafikia kiwango
kaka K