Tuesday, August 2, 2011

MSAIDIENI JAMANI

1. Kwanza ninatatizo la kutokufika kilele nimeenda mpk hospital nikachekiwa nikaambiwa sina tatizo ila nikifanya mapenzi ni concentrate. Mimi nimelelewa kwenye familia ya Kikristo sana
hadi naanza chuo nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi maana nilijua ni dhambi kubwa sana. Imefika mahali nimekuwa na BF kama watatu lakini sijui raha ya mapenzi mimi. Sasa hivi ninamchumba na
kwakweli anajitahidi sana kuniandaa mpk nafika nataka mwenyewe lakini akiingia tu wala sisiskii raha ya aina yoyote saa nyingine inabidi nijifanye nimesikia raha. Huwezi amini tayari nina miaka 32 lakini raha ya mapenzi sijui kabisa
kwa kweli naomba msaada, ninajitahidi kuweka akili yangu pale lakini sisikii chochote. Nikashauriwa na mama mmoja nijichezee mwenyewe kwa kweli nilipata raha ya ajabu, hadi inafikia saa nyingine nikiwa peke yangu nikikumbuka naanza kujichezea mwenyewe. tatizo tu mwanaume akiingia sisiskii chochote.
2. Pili mwenzio nina kiuno kigumu sana jamani hivi kuna dawa ya kulainisha au naweza pata mtu wa kunifundisha mpk nami niweze kukatika kipepee kama feni hahahaaaaa, yaani sijui kwakweli. Tafadhali nisaidie. Pls usiweke email yangu wala jina.

Naombeni maoni yenu wadau


J