nahisi kama hamjaona niolichoona.....wakati dunia nzima inalia na waalikwa na wasimamizi kutinga white...leo hiii nimeona hii kuanzia bwana harusi na waalikwa wametinga KOMBATI , Mh Mnyika yeye sijui hajakabidhiwa hii black au alitokea kazini....maana hii black nahisi ni yakusherehesha na izo za kaki za kazi zaidi ;)
Mama Rozella nae alikuwepooo

![]() |
| Mh.Lema na mkewe ndo walikuwa wazimamizi |
















