Sunday, September 11, 2011

MISS TANZANIA 2011


Kiki fashions ndo asimamia vivazi .....B2A mpaka beach




BURUDANI ZILIKUWA ZAKUTOSHAAA
                                                    Maswahiba wakikumua
                                      vazi la ubunifuuu lilisimamiwa na designer SHERIA NGOWI

vivazi vya kudancia pia vilitendwa na KIKI FASHIONS



                             
                                        tumbuizo lilianzia mlangoni unapata picha Red Carpet huku mziki mororo .lazima upate pozi hata kwa wale wanaoulizaga NIKAEJE ;)


                              RED CARPET.......ZULIANIIIIIII 
                the best top 5 dresses of the night
Kilichonifurahisha zaidi kivazi cha mwamvita kimepikwa na mbunifu wa hapahapa nyumbani
                                                                SHERIA NGOWI
JOKATE ye alikuwa ba AFRICAN TOUCH clutch ila sikuipata sawia....nimependa alivyomix swaga B2A
                                                 Rangi za blue zilitawalaaa....
NGOMA DROOOO
                    


                                                                          honey suckle
                                   navutiwaga saaana na nguo ikiwa na mikono mirefu






                           




B2A designed by Martin mvuto kwanza
                           
                           



































                                          INAKUWAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

                                  Millad Ayo alikuwa live akisababisha fashion police....

























ANGALIZOOOO:: Siku hizi mashost mkiwa na mitoko nawashauri tu muwe mnabeba tu angaraaa twa picha maana TANDAZA KILA SEHEM NDO AJIRA MWAYA VIJANA WALIYOJIPATIA...kuliko watukabe bora watuuzie sure zetu wenyewe au mnaonajeeee?!!








                                                     huyu ndo yule MJ mlomuona stajin



                                         nilitamani hiki kivazi nikione kimecmama kwenye red carpet
                                  

                                            MAjaji wanawake waliotuwakilishaaaa
HAIR DO'S 



NILIPOGUSWAAAAAA
Hakika hapa ndo nilibambwa me co wa 'MICHUCHUMIO' saana ilibidi nihoji. hii nayo CL nikaambiwa AKAAA huu UNYAYOO WA GIANMARCO LORENZI     ' GL'....nimemkubaliiiii



                                     hapa wenyewe chambueni CL na CR .....mie changu GL hapo juu





                                        


                                                                   KT ziliwakilisha kama kawa
COLOR BLOCK ...shost pedicure imelalaa hapa
                                        
                              
unyayo mwekundu.......Ila hii imeletwa kutokana na LEG LINE...kiatu urefu na ujazo wa mguuu vimeendana.....nikipata deal la duka lataka model wakutangaza viatu......UMO
                                                  
                                        

                              WAFUASI WA LADY GAGA NA HAPA WALIKUWEPOOOO

                                        
                                      
                                        huyu nae tulikuwa nae......cjui nimuwekee CR au CL ;)



   MADINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII MADINIIIIIIIIIIIIII MADINIIIIIIIIIIIIII narudia tena MADINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.....I salute maana nilifanya tua ukumbi mzima kuona dini lingine la kupiga picha sikuona
Hili siweziiii fichaaaa madini ndo ugonjwa wangu nipatapo kapesa ka ziada naamini nikihifadhi kwa njia ya madini birthday gift yangu ni madini......lakini huyuuuuu loh salale....maana ilibidi nimvizie nimpige picha  kila nikienda nikirudi picha ikabidi anizoee alijua NimeKWAMA mie na nataabika na nafsi...... na sio kwamba mumewe sonara ivo au mtoto wa Kasmani AKAA teja tu kama mimi ila mwenzangu dozi yake NENE ;)
hilo lamguuni si kikuku LIJOGOOOO
                              
VODACOM  
SHAMIM MWASHA ,
8020 FASHIONS

B2A.......soon itakujia live