Tuesday, September 6, 2011

MSAIDIENI WAJEMENI

hello dada Shamim,
salaam aleikum..., mimi nina shida moja naomba msaada wenu wewe pamoja na wadau wengine wa 8020 blog. mtoto wangu anamiezi 6 sasa ila kitovu chake ni kikubwa....nasikia kuna njia za kukipunguza....naomba nisaidieni kama mwazijua
 
Aksante sana.