Thursday, May 27, 2010

GENEVIEVE MAGAZINE

IMEWAKUSANYA MASUPER STAR WA MOVIE WA NIGERIA NA KUWARUSHA FRONT PAGE...HAPA NAAMBIWA ALITAKIWA AWEPO NA OMOTOLA MY FAV. KWA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO HAKUTOKEA......MAMOVIE STAR KINA DADA MPOOOOO NTAFURAHI NIKIWAONA KWENYE SHEAR, BANG, FLARE au KITANGOMA





PHOTO SHOOT INAKUWA PHOTO SHOOT HASWAAAA

PICHA::thanks BELLANAIJA