Thursday, May 27, 2010

WANJA WA PIKO

SINA UHAKIKA WA WANJA HUU ULOPAKWA HAPA ILA NILITAKA KUWAJUZA MASHOSTI MBALI NA ULE WANJA WA TATUU AMBAO WADADA WENGI MJINI WANAUCHORA...KUNA HUU NIMEAMBIWA WACHA WAPIKO...UNAAMBIWA UNAENDA CHORA PIKO AMBAYO INAKAA WIKI NZIMA ...kizuri nala na wenzangu kibayaa tupa kule kwa mbwa