Kelvin
nawapa salamu zangu watoto wenzangu wote duniani katika siku hii yetu muhimu, nawapenda sana, napia nawashukuru wazazi wangu kwakunitunza.
ujumbe: Tuwape watoto nafasi yakucheza maana michezo ni afya pia

Beatus akiwa na miezi 4 (kutoka kushoto ni Bw. Joseph Masika (kwa sasa ana miaka 10), Bw. Beatus Masika (kwa sasa ana miaka 4 ) na Bw. Ernest Masika (kwa sasa ana miaka 7)
Imar UJUMBE KWA WAZAZI: kila mzazi anawajibu wa kumtunza na kumlea vyema mtoto,ni zawadi toka kwa Mwenyezi Mungu na anamakusudi yake kwa kukupatia malaika huyo. UJUMBE KWA IMAR: nakupenda sana mama, we we ni kila kitu kwangu. Regards, Mariam
Prince Bhikolimana Anawatakia watoto wote Duniani maisha marefu na wawapende wazazi wao. Mama Wa Prince, Marie Somboko
KAREN .....ametuma na ujumbe
Ameomba parents wajitahidi kuwawekea savings kwa ajili ya elimu yao. Watoto wote kila la heri na maisha mema na marefu, tusiache kuwaombea watoto yatima na wasiojiweza
Ameomba parents wajitahidi kuwawekea savings kwa ajili ya elimu yao. Watoto wote kila la heri na maisha mema na marefu, tusiache kuwaombea watoto yatima na wasiojiweza
baby fred akiwa in his pajamas, baada ya kuamka. he is the most loving child. nataka kumwish happy childrens day. didi