Wednesday, June 16, 2010

MAIMARTHA RE-ROCK

kuweka picha maimartha kurudia si kwamba nataka nimuumbue kama wengi mnavyodhan bali nataka niwaoneshe kuwa hakuna atayeweza nunua nguo yake aloipenda na kisha aivae mara moja na kuitupa....hata we mdau kama una nguo yako vaa kwa raha zako