NINA TIKETI TANO NTAGAWA HAPA KWA AJILI YA SHINDANO LA MISS DAR INDIAN OCEAN AMBALO LITAFANYIKA LEO.....KATIKA HOTELI YA DOUBLE TREE HILTON.
WADAU WATANO KWA KWANZA KUJIBU MASWALI KWA USAHIHI NTAWAPATIA TIKETI
MASWALI NI HAYA
1) MISS TANZANIA ALIYEWAHI VISHWA TAJI LA MISS WORLD AFRIKA, ALITOKEA KITONGOJI GANI?
2)KITONGOJI GANI CHA KINONDONI KILIWAHI KUTOA MISS TANZANIA MARA TATU MFULULIZO?
3)MISS DAR INDIAN OCEAN MWAKA HUU INAANDWALIWA NA KAMPUNI GANI?
note:: andika jina na email na ikiwezekana na namba ya siku baada ya comment yako ili tuweze wasiliana nawewe
.........ifikapo saa nane kamili mchana itakuwa mwisho wa shindano na nitataja washindi...ili waweze kwenda kujiandaa..............