Thursday, June 10, 2010

MUSTAFA'S BIRTHDAY DINNER

EVENT::MUSTAFA'S BIRTHDAY
VENUE::NAWAABI KHANA
kata cake tuleee
yam! yam! yam!
hii ilikuwa taaamu zaidi nahisi nilikulaaaa nusu ya cake...wink
Sijuiiii aliibua nini may be ni badala ya mshumaa :(
kutua kumbe ni MAUGONJWAAAA
kumbe wamebebaaa mzigooooo....wink
haoooooo
mara naona maandamano
na mwishoooo cake...ililiwa na wooteBAADA YA WATU KULA KUSHIBA nikaona taa zazimwa







meza ilikuwa ndefu kama Treni
lol!!... haikuwa na theme hii ndo wahudumu wanatinga hivi....