Thursday, June 17, 2010

INGIZO JIPYA.......SHRUG a.k.a BELLA STYLE!!

Ni a.k.a Bella Style sababu ye ndo Fashaionista niliyemuona anazitinga kwa saana na kunifanya NIGUSWE na nazo na ananiambia ana kila rangi



GENEVIEVE......ye anaivaaga hv
mwamvita ye 'HUIMAMAOBARIZE'
Mama JJ....ye huitinga style hii



UKIZIKUTA DUKANI UTAZIKUTA HIVI......umezipenda?...... kama unayo hebu itinge kisha tuma picha uturingishie pitia
shamyomy@yahoo.com