Thursday, June 17, 2010

SALLYROSE BIRTHDAY PARTY

SALLYROSE ALIWAKUA ANATIMIZA MIAKA MIWILI NA PARTY ILIFANYIKIA FUNKYS


Cake 'JIUGONJWA' la Sallyrose lilitokana na cake hii hapa...watu hodari saaana

HONGERA PARENTMATE KWA KUKUZA......
common Give Mummy a kiss....u know mummy loves u right?!!



MWAMVITA..........nimeGUSWAAAA na KIBANDIKO/KIUA


KUONA PICHA ZAIDI ZAMA HUKU SALLYROSE