| unyayooo huo ....kivazi kilifit mtoko |
| dada nickiiiiii!!! |
| hivi majuu hakuna fungas za joto...au akivaa sylvia ndo majotrooooooo?!! ;) |
| huyu kaambiwa ilibidi zipu ifunguliwe atlist hewa izame maana izo ngozi ni jiko la mkaaa |
| mchana jotooo na kitu cha satin!! |
| dada kaulizwa gauni lake la oscar kalivaa huku?!1 |