Tuesday, June 28, 2011

DESERT ROSE!!

K.K.W HAYA NAWAJUZA KUNA SALOON MPYA IMEFUNGULIWA NI FULL PACKAGE NDANI HUKO UTAKUTANA NA DUKA AS BOUTIQUE,SALOON YA KIUME,YA KIKE, CHUMBA CHA MASSAGE MAMBO YA KUCHA NA FACIAL, BILA KUSAHAU CHUMBA MAALUM KWA AJILI YA KUPAKIWA HINA (MAMBO YETU Yaleee ya kisudan...live live) bila kusahau mambo ya kusingwa wenyewe mnayatambua kama massage......yote haya yanaletwa kwenu na YULE SOME YETU ZULEKHA LODI...TASHTITI ZAKE SI MWAZIKUMBUKAA HAYA MPITE
WANAPATIKANA::KINONDONI MUSLIM WANATAZAMANA NA GETI LA KUINGILIA SHULENI
WACHEKI NAMBA::0774314151 NA 0655318032

                                                      DUKA NDO HILOOO
                                                      CHUMBA MAALUM KWA KUPAKIWA HENNA
                           SALOON KUNA CHUMBA MAALUM CHA WANAUME NA KIPO MAALUM KWA WANAWAKE

HAYA MAMBO YETU YALEE YA FACIAL

                                                           MAMBO YA MASSAGE


MPITE MKAJIONEE