Sunday, July 24, 2011

K.K.W....STICKER ZA KUCHA '3D'....TOKA SHEAR ILLUSIONS

NDIO NI STICKER AMBAZO UNAWEZA WEKA ASUBUHI MCHANA UKATOA, HATA KWA KINA SIE AMBAO NI WAVIVU WA KUKAA NA KUPAKA RANGI NICHEKI...NISIWAAMBIE HAO MAKHALAT AMBAO KUCHA LAZIMA ZIPATE MAJI HAYA NDO HASWAA MAMBO YENU ....PITA SHEAR ILLUSIONS UJISEVIE




 UNAWEZA ENDA SALOON AU HATA WE MWENYEWE UKAJIWEKA NI RAHIIISI KABISA
 MWENYEWE NILIJIPOTEA......ILIBIDI NIJIFINYE NICHEKI JE NI MIMI ;)

ME NDO NILIPENDEZA IVYO.....NI STICKER TU HIZO PITIA ZAKO SHEAR ILLUSIONS