NI KWENYE SHEREHE YA MIAKA SITA TANGU MACHOZI BAND IANZISHWE...AMBAPO ZAIDI YA KUKATA CAKE NA KUSHEREHEKEA PIA ALIWAPA TUZO WANAMUZIKI WAKE PAMOJA NA WADAU WA BENDI WAANZILISHIII.....NA MIE NDO NILIYEPEWA JUKUMU LA KUWAKABIDHI TUZO.
JIUGONJWA LILIKUWA LA KIFAA MAHSUSIII |
CAKE ILILISHIWA KWA KILA MMOJA WAO |
MWINYI NAE ALIONDOKA NA TUZO...ye ndo mzee wa pamba WALIOJINYAKULIWA TUZO...PICHA NIMESHINDWA PATA ZOTE SI MWAJUA TENA NILIKUWA MGENI MWALIKWA....SO SIKUWA NA MAKEKE SAANA NA KAMERA......NILIMISIJE |
Duh nimenona ona kono ;( ...POWERFUL4 SLIMMING inanihusuuu |
WADAU NI KAMA HAWA WAKUMWAGA
yap nilikuwa mgeni rasmi siku hiyo
vijana waling'aaa kama kawaaa
Diana akafika nae akakabidhiwa tuzo yake ya kuwa mdau . mwanzo mwishoooo
PICHA::SHUKRAN MO BLOG
PICHA ZAIDI::DUMBUKIA KWA JIDE